Burudani

FID Q kajibu kuhusu uhusiano wake na ALIKIBA baada ya Fresh Remix

on

Baada ya Fid Q kufanya Fresh Remix akimshirikisha Diamond Platnumz kisha kupokelewa kwa hisia tofauti na mashabiki, staa huyo wa Hip Hop Bongo kafunguka kuhusu uhusiano wake na Alikiba.

Ameeleza kuwa uhusiano wake na Alikiba ni mzuri na hata wakikutana wanasalimiana kama kawaida na akaongezea kuwa Alikiba ni msanii mkubwa na moja kati wa wengi amabo anaheshimu kazi zao.

Ulipitwa na hii? ”KWA MIAKA MINNE NIMEKAA NA NAMBA YA BLUE KWENYE KARATASI” YOUNG DEE

 

Soma na hizi

Tupia Comments