Top Stories

VideoFUPI: Mbunge Tundu Lissu amefikishwa Mahakamani leo

on

Siku nne baada ya kukamatwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam na kuwekwa mahabusu Rais wa Chama cha Mawakili na Mbunge CHADEMA, Tundu Lissu leo July 24, 2017 amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya uchochezi.

Tundu Lissu alikamatwa July 20, 2017 akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akielekea Rwanda kwenye mkutano wa Mawakili.

FULL VIDEO: Fatma Karume Wakili wa Lissu aongea kinachoendelea…tazama kwa kuplay video hii hapa chini!!!!

ULIPITWA? Tazama hapa chini Lissu alivyogoma kutoka Mahakamani ili asikamatwe na Polisi Dodoma…bonyeza play hapa chini kutazama!!!

 

Soma na hizi

Tupia Comments