Habari za Mastaa

Uwoya kafunguka tusiyoyajua “Nimepiga picha na Mama Mkwe, Dogo Janja nimemzidi vingi”

on

Leo June 23, 2018 AyoTV na millardayo.com tulikuletea kile alichoongea Dogo Janja kuhusiana na picha alizo-post Mkewe Irene Uwoya ambapo Janjaro alizungumza kwa upande wake na majibu natumai uliyasikia kama bado bonyeza PLAY katika video ya pili hapo chini.

Ili kutimiza kiu yako Mtu wa nguvu juu ya suala la Picha za Irene Uwoya tumempata yeye mwenyewe ambaye kafunguka mengi hata tusiyoyajua ikiwemo uwepo wa Mama Mkwe wakati anapiga picha hizo na mengine. Kutazama Full Interview bonyeza PLAY hapa chini.

Dogo Janja “Simjui Mwijaku, mke wangu ni staa hakuwa utupu, Kim Kardashian je ?’

Soma na hizi

Tupia Comments