AyoTV

VIDEO:Madam Rita katangaza msimu wa kumi wa BSS 2019

on

Tumeishuhudia miaka 9 ya mafanikio ya Bongo Star Search kuibua mastaa wa muziki Bongo.Sasa leo Spet 18, 2019 Madam Rita ametangaza msimu wa kumi wa mashindano hayo ya Bongo Star Search.

Aidha Madam Rita akatangaza mikoa itayohusika na mchakato wa kusaka vipaji ambapo BSS itaanza mikoa ifuatayo ikiwemo Mbeya, Dodoma, Arusha, Dar es Salaam.

itazame hii video

Soma na hizi

Tupia Comments