Top Stories

Mwanamke aeleza jinsi uzuri wake ulivyo laana kwake

on

Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja London Uingereza Dawn Cousins, 44, ameeleza kuwa uzuri alionao umekua kama laana kwake kwani umekua ukimfanya apate wanaume wanaomtamani tu na sio kutaka wamuoe na kisha waanza maisha pamoja.

Dawn ambaye ni mama wa watoto wanne ameeleza kuwa umbo na mwonekano wake ambao ni kama wa binti aliye nusu ya umri wake unamkosesha bahati ya kupata mwanaume anayeeleweka ambapo ameeleza kuwa hajakuwa kwenye mahusiano tangu mwaka 2003.

“Natamani kupata mwanaume atakaye tulia na mimi, lakini hatahivyo sihitaji mwanaume mnene, asiyevutia au mzee kwasababu mimi mwenyewe ninaonekana binti mdogo.” Dawn Cousins

'I'm not in the same bracket as them,' she said of her contemporaries

The outspoken mother, who has children aged between 17 and 22, says she often faces negativity from other women 

The mother-of-four says she has men 'drooling' over her but they're not suitable and don't seem interested in her personality 

Ulipitwa na hii? Vodacom: kuhusu wanaotuma pesa kimakosa kwa watu wengine

Soma na hizi

Tupia Comments