Top Stories

Alichokisema RC Makonda wakati akifuturisha Walemavu “Wamenipa Chakula” (+video)

on

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa kushirikiana na wadau wa sekta mbalimbali ametoa futari kwa watu wenye Ulemavu ambapo amesema mtu anaweza kuanza pale alipo bila kuwa na kitu choochote.

Katika futari hiyo ambayo imeudhuriwa na watu mbalimbali, RC Makonda amesema alianza na wazo alilopewa na Roho Mtakatifu ambapo wakaletwa watu wenye fedha na kumpatia chakula ambacho amekitoa kwa watu hao wenye Ulemavu.

MWANZO MWISHO: KAGERE, MWANA FA, Z-ANTO, PACHO MWAMBA, MLELA WALIVYOWAHUDUMIA WALEMAVU

Soma na hizi

Tupia Comments