Top Stories

“Magufuli ni chuma, BASATA walitakiwa watushirikishe”–Quick Rocka

on

Staa kutoka katika kiwanda cha Bongofleva Quick Rocka anazimiliki dakika zake kwenye exclusive interview na Ayo TV ambapo amefunguka kuhusu sheria ndogo zilizowekwa na Serikali kupitia BASATA zinazowahusu wasanii lakini pia amezungumza kitu ambacho akipata nafasi ya kuonana na Rais Magufuli hatoacha kumueleza.

Hatuzikatai sheria ndogo za BASATA lakini tunahoji kuhusu sisi kama wasanii kutoshirikishwa katika kuziandaa, kwasababu bila sisi wao hawataweza kusimamia chochote”-Quick Rocka

“Niliponea kufa baada ya kumuibia Mwanajeshi” -MKALIWENU

Soma na hizi

Tupia Comments