Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Jinsi Diamond alivyokwenda kuwalipia ada shuleni watoto walioshinda kucheza ‘ngololo’ na pesa aliyolipa.
Share
Notification Show More
Latest News
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
August 11, 2022
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Jinsi Diamond alivyokwenda kuwalipia ada shuleni watoto walioshinda kucheza ‘ngololo’ na pesa aliyolipa.
Habari za Mastaa

Jinsi Diamond alivyokwenda kuwalipia ada shuleni watoto walioshinda kucheza ‘ngololo’ na pesa aliyolipa.

January 21, 2014
Share
2 Min Read
SHARE

IMG_0129Mwimbaji Diamond Platnumz Jumanne ya January 21 2014 alitimiza ahadi yake kwa watoto walioshinda kwenye tamasha la watoto la Xmas aliloliandaa na kukutana na watoto kwenye stage ambayo pia alishindanisha wanaojua kucheza na kuimba wimbo wake wa ‘number one’ a.k.a ngololo kwenye viwanja vya Leaders Club Dar es salaam.

Walipatikana washindi ambao ilikua ni ahadi yake kuwalipia ada na kuwasomesha kwenye shule nzuri za kisasa zenye kiwango kizuri cha elimu na kweli amefanya hivyo kwa kuwapeleka mwenyewe shuleni na kuwalipia ada ambayo inazidi milioni sita na laki saba kwa Wanafunzi wote wawili.

Ahadi yake ni kuwasomesha mpaka darasa la saba peke yake.

IMG_0120

Screenshot_2014-01-21-21-38-47Hizi ni baadhi ya picha zinazomuonyesha Diamond akiwakabidhi watoto hao kwa Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Mercy Githirua na picha ya pamoja na wanafunzi wa East Africa International School.

IMG_0033

IMG_0039Mwalimu mkuu msaidizi ameiambia millardayo.com kwamba ilibidi wapige kengele na Wanafunzi kukusanyika mstarini kwa ajili ya kumsikia Diamond kwa dakika kadhaa.

Mwalimu huyu msaidizi aitwae Nelson anasema ‘mmoja wa Wanafunzi hawa yuko darasa la nne na mwingine darasa la tano, Diamond alipopata nafasi ya kuongea na Wanafunzi baada ya kuitwa maalum kumsikiliza, aliwapa moyo na kuwapa ushauri kuhusu dunia ya sasa, Wazazi wa wale watoto pamoja na uongozi walikubaliana watoto waanze shule Ijumaa kila kitu kikiwa kimekamilika’

shule

IMG_0114

IMG_0116

IMG_0018

You Might Also Like

Tanzania ya 3 kutumia Audiomack, wasanii changamkieni

Mkali Burna boy ametuletea hii video mpya akiwa amemshirikisha Ed Sheeran

Tazama alichokifanya Diamond mbele ya Wizkid backstage, ampa Shavu Focalistic (video+)

Picha: Zuchu, Mwana FA na wengineo walivyotoa burudani hafla ya kuwaaga Wabunge

Str8upvibes kumleta ‘Kizz Daniel’ Tanzania?

Millard Ayo January 21, 2014
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Umekisikia alichokisema Mbwiga leo?kisikilize hapa.
Next Article Unayataka magoli yaliyofungwa na Yanga huko Uturuki dhidi ya Simurk PIK? video iko hapa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
Sports August 11, 2022
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
Top Stories August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani

August 11, 2022
Top Stories

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?