Habari za Mastaa

Diamond abadili gia angani usiku wa kumtambulisha mchumba wake (video+)

on

Mwimbaji Diamond Platnumz na Mchekeshaji Joti wametangazwa rasmi kuwa Mabalozi wapya wa mtandao wa simu wa Airtel usiku wa April 11, 2022 kwenye hafla maalumu iliyoandaliwa kwa watu wachache Jijini Dar es Salaam.

Ni usiku ambao Mashabiki wengi wa Diamond waliamini anakwenda kumtambulisha Mchumba wake baada ya gumzo hivi karibuni.

Diamond amesema huyu Airtel ndiyo ampendae na amezama kwenye huba lake na kuridhia kwa dhati.

SHOLO MWAMBA AFUNGUKA ‘NIMEPITIA MENGI MAGUMU, MIMI NI YATIMA, POKEENI KIDOGO NILICHONACHO’

Tupia Comments