Michezo

Diamond aumizwa na Manara kuondoa Simba SC afunguka ya moyoni “Nimeumia sana” (Video+)

on

Aliyekuwa Afisa Habari wa Simba SC, Haji Manara mara baada ya kufanya Mkutano wake na Waandishi wa Habari kwa ajili ya kuwashukuru mashabiki wa Simba SC.

Sasa baada ya  kumalizika kwa mkutano huo msanii kutokea Bongo Flevani, Diamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa instagram ameyaandika haya. . .

“Ukiacha Upenzi wangu wa team ya Simba ambao kiukweli umetokana na ushawishi wako lakini kama Mtanzania ninaependa maendeleo ya Tasnia ya Michezo, nimeumia kutokuwepo kwako tena Simba Licha ya kuiongezea Hamasa, Ushawishi Team yetu ya Simba“- Diamond Platnumz

Unaweza ukabonyeza play kufahamu mengi zaidi aliyoyasema Diamond kuhusu kuondoka kwa Manara kwenye Club ya Soko nchini “Simba SC”

Tupia Comments