Video Mpya

Diamond katuletea IYO aliyowashirikishwa wakali wa Afrika Kusini (Video+)

on

NI Headlines za mkali kutokea Bongo Flevani,Diamond Platnumz ambae time hii ametuletea hii video mpya ya wimbo wake uitwao IYO akiwa amewashirikisha Mapara A Jazz na Ntosh Gazi.

Unaweza ukabonyeza play kuitazama video hiyo mpya ya Diamond Platnumz kisha usisahau kuandika neno lolote

 

TAZAMA DIAMOND NA ALIKIBA WALIVYOWAHI KUMUIMBIA ‘MALCOM’ ENZI ZA UHAI WAKE

 

Tupia Comments