Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Diamond Platnumz afika Makao Makuu TRA, kayaandika haya
Share
Notification Show More
Latest News
Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
January 28, 2023
Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu
January 28, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > Diamond Platnumz afika Makao Makuu TRA, kayaandika haya
Entertainment

Diamond Platnumz afika Makao Makuu TRA, kayaandika haya

January 5, 2023
Share
1 Min Read
SHARE
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Wasafi ambaye pia ni Mwimbaji Staa wa Bongofleva Nasibu Abdul Juma maarufu Diamond Platnumz amefanya kikao na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hapo jana katika Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es salaam na kuzungumza kwa kina pamoja na kupata elimu juu ya kodi.

Mwimbaji huyu ameandika kuhusu kikao hicho leo kwenye ukurasa wake wa Instagram kama ifuatavyo “Kikao kilienda vyema na nikapewa elimu mbalimbali ambazo zitaongeza ustawi bora wa Kampuni na biashara zetu lakini pia namna sahihi ya kuendelea kuchangia pato la Taifa”

“Kipekee nimshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia kwa kutupa Serikali sikivu lakini pia nimshukuru Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu na Kamishna Mkuu TRA Alphayo J. Kidata kwa kuendelea kuwa mstari wa mbele kwenye kuhakikisha kwamba TRA inaendelea kuwa Mlezi bora kwenye ustawi wa biashara na Wafanyabiashara”

Kikao hiki kimetokana na mahojiano ya Diamond Platnumz December 30,2022 ambayo alilalamikia akaunti za Kampuni na zake binafsi kuzuiliwa kutokana na madeni ambayo TRA walisema wanamdai huku akisisitiza kuwa hakupenda jinsi alivyofuatwa kwenye Ofisi za Wasafi kitendo kilichomfanya ajione kama ni Mkimbizi ndani ya Nchi yake.

You Might Also Like

Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’

The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo

Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa

Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross

Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 27th Jan Elements Masaki

Edwin TZA January 5, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Rais Samia atengua uteuzi wa Katibu Mkuu Ikulu, amteua Mululi Mahendeka
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 6, 2023
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
Entertainment January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
Entertainment January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
Top Stories January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
Top Stories January 28, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro

January 28, 2023
Top Stories

Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu

January 28, 2023
Top Stories

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”

January 27, 2023
Top Stories

Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa

January 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?