Habari za Mastaa

Diamond uso kwa uso na Busta Rhymes amuita ‘Michael Jackson wa Africa’

on

Rapper mkongwe kutokea nchini Marekani Busta Rhymes ameshare Video akiwa na Diamond Platnumz wakiwa Studio na Kumwagia Sifa kibao ikiwemo kumuita ‘Michael Jackson of Africa ‘  yaani Michael Jackson wa Afrika .

Katika Video hiyo ambayo wanaonekana kama wanasuka Mdundo wa Pamoja, wameonekana Mastaa wengine akiwemo Swizzbeatz, Hitmaka na Otgenasis .

TAZAMA HAPA UJIONE DIAMOND ALIVYOKUTANA NA BUSTA RHYMES  STUDIO NA KUMMWAGIA SIFA

Tupia Comments