NI Simanzi na Majonzi zimetawala Tanzania baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kufariki dunia Machi 17, 2021,sasa hapa nimekusogezea kile kilichoandikwa na mastaa mbalimbali.
HISTORIA YA RAIS MAGUFULI YENYE UTAMU NA UCHUNGU, KUZALIWA, ELIMU, JESHI, UONGOZI HADI KIFO