Ni wakali wanaoandaa tamasha la Afro Nation ambapo time hii wametoa orodha ya mastaa watakaoinogesha jukwaa lao.
Tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika nchini Ureno mnamo Julai 1, 2 hadi 3 Mwaka 2022 huku litawatakutanisha wasanii tofauti akiwemo Diamond Platnumz, Patoranking, Megan Thee Stallion, Rema, Inno, Burna Boy, Wizkid, Kiss Daniel na wengineo.

KITUKO CHA MSHIRIKI WA BONGO STAR SEARCH 2021 ATIMBA KITOFAUTI