AyoTV

EXCLUSIVE: ‘Kuna wanaosema Chibu Perfume bei yake kubwa’ Diamond Platnumz

on

Baada ya Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam SK kutangaza Bei ya Perfume ya Chibu itakavyouzwa kwenye maduka, baadhi ya watu wamesema kuwa bei hiyo ni kubwa sana, hapa Diamond Platnumz ameyajibu yote kuhusu wanaosema kuwa Chibu Perfume ina bei sana.

Ulimiss Diamond alivyoizindua Chibu Perfume, na bei yake je? itazame hii video hapa chini…

 

Soma na hizi

Tupia Comments