Habari za Mastaa

Diamond aendelea kukimbiza Top 10 za Africa

on

.

.

Kama wewe ni shabiki wa muziki wa Africa unaweza kuwa na hamu ya kufahamu ni single gani ambayo iko juu kwenye chati za muziki huu duniani…. kwa sababu kazi yangu ni kukusogezea zote muhimu, nakusogezea na hii kwamba kwa wiki hii ya pili ‘Nana’ video ya  ya Diamond Platnumz kupitia kituo cha Trace TV ya Ufaransa bado imeshika namba 1.

.

.

Mbali na video hiyo kuchezwa kama namba 1 kwenye kituo hicho cha Trace TV, Diamond Platnumz ana sababu nyingine ya kufurahi mafanikio ya kuwa msanii wa kwanza wa Tanzania kupitia video yake ‘Nana’  kufikisha views milioni 2 tangu iwekwe May 29, 2015.

Hizi ndio video za Africa zilizoshika Top 9 kwenye kituo cha Trace TV ikiwemo ya Diamond Plantumz.

8.Iyanya & Diamond – Nakupenda

7.Timaya ft Phyno & Deettii – Gbagam

6.Yemi Alade – Taking Over Me ft Phyno

5.Wiz Kid – Expensive Shit

https://www.youtube.com/watch?v=dWJoZx0cy6c

4.Davido & Meek Mill – Fans MI

3.Runtown ft Uhuru – The Banger

2.Alamide – Bobo

1.Diamond Platnumz ft Mr Flavour – Nana

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments