Jina la Leonardo DiCaprio si geni kwa mashabiki wanaopenda kuangalia movie, ni kati ya waigizaji wakubwa kwenye industry hiyo.
Mbali ya kipaji chake cha kuigiza pia mashabiki wake wanamfahamu kama mmoja wa mastaa ambaye mpaka sasa hajaoa licha ya umri wake kumruhusu.
Kwa miaka mingi DiCaprio amekuwa na uhusiano na wasichana mbalimbali maarufu wakiwemo wanamitindo kutoka sehemu mbalimbali.
Hawa ni warembo 15 ambao walikuwahi kuwa na uhusiano na staa huyo wa Hollywood.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE.