Habari za Mastaa

Baada ya adhabu ya boss mbaguzi, Diddy atainunua L.A Clippers?

on

diddy2Baada ya kuonekana uwezekano wa timu ya L.A Clippers kuuzwa ili mmiliki wa sasa asijihusishe nayo tena baada ya kupewa adhabu ya kutoisogelea maishani, P.Diddy ameandika tweet ambayo kila mmoja ameipokea kwa mtazamo wake.

Ameandika siku zote atakuwa shabiki wa New York Knicks lakini bado anabaki kuwa ni mfanyabiashara na akamalizia na hashtag ya DiddyBuyTheClippers.

Utajiri wake ni dola milioni 700 na bado unaendelea kukua labda ameshafikisha 800 hivi sasa au la na Forbes wanasema L.A Clippers ina thamani ya dola millioni 575 ambayo ipo ndani ya uwezo wa Diddy lakini itamgharimu zaidi ya nusu ya pesa zake.

diddy

Tupia Comments