Michezo

Dilunga mchezaji bora wa mwezi Simba SC

on

Kiungo wa Simba SC Hassan Dilunga ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi October wa club ya Simba SC (Emirate ACP).

Dilunga alikuwa akiwania tuzo hiyo na wachezaji wenzake Rally Bwalya na Kanoute ambapo amekabidhiwa tuzo pamoja na pesa Tsh milioni 2.

Soma na hizi

Tupia Comments