AyoTV

VIDEO: Diamond alivyoizindua Chibu Perfume, na bei yake je?

on

Msanii kutoka Bongoflevani Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) Leo April 21 2017 D ar es Salaam ameizindua rasmi ‘Chibu Perfume’, Perfume ambayo imetengenezewa Dubai na pia Meneja wake Salam ametangaza  jinsi ya kuipata CHIBU PERFUME  na Gharama yake itakayouzwa.

Ulimiss hii Yusuph Mlela ameomba pambano la ngumi na Nay wa Mitego itazame hii video hapa chini…

Soma na hizi

Tupia Comments