Habari za Mastaa

Hongera ziende kwa Dina Marios kwa kujifungua mtoto.

on

dinaaDina Marios mwanafamilia wa Clouds FM kupitia kipindi cha Leo tena kinachosikika kila siku za wiki kuanzia saa 4 hadi saa 7 mchana amejifungua mtoto wa kiume.

Taarifa rasmi zimetolewa na official page ya Clouds FM kwenye facebook.

dina

Tupia Comments