Mix

VideoFUPI: Pale unapodhani ulemevu ni kikwazo kwa kipaji chako

on

Kila mtu amezaliwa akiwa na kipaji cha namna yake, lakini wakati mwingine kutokana na mazingira humfanya mtu ashindwe kufikia malengo yake kutokana na kipaji hicho. Leo April 17, 2017 nimekutana na hii video fupi ya kijana mlemavu wa miguu lakini ana kipaji cha kuuchezea mpira.

Bonyeza play kutazama…

VIDEO: Navy Kenzo walivyoperform Club Duet nchini Israel. Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments