Michezo

Ditram Nchimbi mwaka mmoja bila goli “Sina furaha”

on

Mshambuliaji wa Yanga Ditram Nchimbi ambaye hadi sasa kacheza mwaka mmoja na siku 47 bila kuifungia Yanga goli mara ya mwisho Nchimbi kufunga Ilikuwa February 29 2020.

“Sijafunga muda mrefu mimi binafsi sijisikii vizuri na sina furaha kwa sababu najua wana Yanga wanajua kile kitu ninacho, kwa hiyo matarajio yao kuniona nafunga”>>> Nchimbi

“mimi naamini mvua itakapoanza kunyesha ndio muda wa kupanda mahindi mimi naamini kuanzia mechi ijayo nikipata nafasi nitafunga magoli”>>> Ditram Nchimbi VIA YANGA TV

Leo Yanga saa 19:00 EAT watacheza dhidi ya Biashara United katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, kama Nchimbi akipata nafasi inawezekana akavunja mwiko kwa kucheza mwaka mmoja ka zaidi bila goli.

Soma na hizi

Tupia Comments