Habari za Mastaa

Exclusive Sikiliza hapa kipande cha wimbo mpya wa Diva.

on

IMG-20140425-WA0006Mashaalah ni jina la wimbo mpya wa Diva ambao anategemea kuuachia rasmi Ijumaa kupitia XXL,Studio iliyohusika na utayarishaji wa wimbo huu ni Sharobaro Records na ndani ya wimbo huu kashirikishwa Producer wa wimbo huu Bob Junior,millardayo.com imepata exclusive teaser ambayo kaitoa hapa.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments