Featured

Hata wewe unaweza kuungana na Diva the Bawse siku ya Christmas kuikamilisha hii..

on

Kwa wale watu wa ‘Ala za Roho’ ya Clouds FM najua jina la Diva sio geni kwao, mtu wa nguvu kabisa ambaye huwa anadondosha love stories kuanzia saa nne usiku Jumatatu mpaka Alhamisi.

Love yake inaendelea na yuko tayari kuisogeza kwa watu wengine pia, Christmas ni Ijumaa ijayo, siku chache zimebaki kuifikia lakini mrembo Diva kaona aungane na upande mwingine kuonesha ile love yake…. siku ya Christmas atakuwa na watoto yatima na kaahidi kuwapelekea misaada ya baadhi ya mahitaji yao.

DIVA BBY

Kwako mtu wa nguvu unaweza kuungana pia na Diva the Bawse kwa kumcheki kwenye namba ya simu hii  hapa >>> 0656 336919… hapo unaweza kupata maelekezo kamili jinsi ya kuungana nae na kusaidia chochote kwenye vituo vya yatima ambao kiukweli wana mahitaji mengi.

Mrembo Diva ana kitu kinaitwa Diva Foundation na ndio inayosimamia hii Diva Giving for Charity na unaweza kuungana nao kufanikisha hilo kwa sababu ‘Kutoa ni Moyo’.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments