Habari za Mastaa

Huyu ndiye Super Nyota Divaz kwa Mkoa wa Mwanza.

on

21dncMwanza hatimae wametoa Super Nyota wao ambaye amepatikana leo August 07 kwenye viwanja vya Jembe ni Jembe ambapo mshindi aliyeibuka ni Honeya ambae kwa aina yake ya ushiriki usingeweza kuamini kama atashinda.

Miongoni mwa vitu ambavyo vimesemwa na mtoa fomu hizo kuwa msichana huyo kwanza alichelewa kuchukua fomu na kujaza na lingine ambalo limewashangaza hata majaji ni pale alipokuja tayari wenzake wameanza lakini kwa alichokifanya hakuna mtu aliyeamini.

Nakumbuka Fetty ambaye ndiye alikua Jaji mkuu alimuuliza kama aliwahi kuimba sehemu yoyote ambaye inamfanya kujua kupangilia muziki wake kama muziki wa bendi lakini msichana huyo alisema hajawahi ingawa ana single aliwahi kurekodi.

Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa asubuhi ya leo August 07.

DSC_0394

DSC_0395

2dnc

 

13dnc

6dnc

3dnc

 

22dnc

26dnc

Mshindi wa Super Nyota Divaz Mwanza 2014 Honea akiimba.

35dnc

Baadhi ya washiriki wa Fiesta Super Nyota Divaz Mwanza 2014.

37dnc

39dnc

Muda wa kuwajua tatu bora ulikua huu.

43dnc

79dnc

83dnc

Hawa ni washindi wa nafasi ya kwanza na ya pili.

86dnc

Mshindi wa kwanza wa Super Nyota Divaz Mwanza 2014 Honea

106dnc

110dnc

115dnc

 

Tupia Comments