Top Stories

Diwani wa CCM adai Sabaya alitaka kumuua kwa Bastola “Nilizimia”

on

NI July 27, 2021 Bakari Msangi Diwani wa CCM kata ya Sombetini mkoani Arusha ambaye ni shahidi wa sita katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia Silaha inayomkabili aliyekuwa DC wa Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake Silvester Nyegu pamoja na Daniel Mbura ameieleza Mahakama hiyo kwamba alitishiwa kuuawa na Sabaya na kupigwa na wasaidizi wake vibao hadi akazimia.

SHAHIDI KESI YA SABAYA ADAI HAJUI KILICHOMPELEKA MAHAKAMANI LEO “SIAMINI”

 

Tupia Comments