Habari za Mastaa

Dj Khaled atoa achangia vifaa ya kujikinga Corona Virus

on

NI Headlines za mkali kutokea Marekani, Dj Khaled ambae time hii ameamua kuchangia fedha ambazo zitatumika kununua vifaa vya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona kwa wahudumu wa Afya na hata wananchi wa kawaida

DJ Khaled ameripotiwa kuwa mbioni kuchangia Gloves 10,000 pia Masks pamoja na vifaa vingine vya kujikinga, kwenda kwa wahudumu wa afya katika kipindi hiki cha kupambana na janga la ugonjwa wa COVID-19.

CORONA TANZANIA: VIFO VYAONGEZEKA, WALIOPO KARANTINI 120, WANAOFUATILIWA 280, MAAMBUKIZI 32

Soma na hizi

Tupia Comments