on air with millardayo

EXCLUSIVE: Dogo Janja kuhusu rafiki zake kuuwawa na wengine kufungwa jela

on

Dogo Janja ni msanii wa bongofleva ambaye alikaa kwa ukimya wa miaka zaidi ya mitatu bila kufanya muziki lakini sasa amerudi, alikaa kwenye OnAIR with Millard Ayo na kuongelea ishu mbalimbali ikiwem kurudi kwake, maisha ya shule na mengine… 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments