Mix

Ebitoke amejibu kula bata na Yusuph Mlela mbugani, ni wapenzi..? (+video)

on

Mchekeshaji Ebitoke amejibu kuhusu kudaiwa kutoka kimapenzi na mwigizaji Yusuph Mlela, hii ni baada ya wawili hao kuonekana wakila bata sehemu tofauti tofauti wakati walipokuwa wamekwenda kutembelea mbuga za wanyama na sehemu za vivutio.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza majibu ya EBITOKE.

VIDEO: BONGO MOVIE WAUNGANA NA MISS TANZANIA KUTANGAZA UTALII WA NDANI

Soma na hizi

Tupia Comments