Habari za Mastaa

Mwanzo Mwisho: Kagere, Mwana FA, Z-Anto, Pacho Mwamba, Mlela walivyowahudumia walemavu (+video)

on

Moja kati ya tukio kubwa lililowakutanisha mastaa mbalimbali ni futari iliyoandaliwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa ajili ya watu wenye Ulemavu ambapo mastaa wa soka, filamu, muziki na waandishi wa habari walihusika katika utoaji wa huduma za vyakula.

Tukio hilo lilifanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam ambapo miongoni mwa mastaa waliokuwepo ni mchezaji wa Klabu ya Simba, Meddie Kagere na wenzake, msanii Mwana FA, Steve Nyerere, Pacho Mwamba, Millard Ayo na watu wengine maarufu.

Alichokifanya RC Makonda, Z-Anto, B Dozen, Pacho Mwamba, Steve Nyerere wafunguka

Soma na hizi

Tupia Comments