Top Stories

Usicheze mbali na NBC Sabasaba hii (+video)

on

Bank ya Biashara ya NBC ambayo wanabanda lal kwenye maonesho ya Sabasaba kwa lengo la kutoa huduma kwa ukaribu zaidi kwa wateja wao, sasa Ayo Tv ilifika kuzungumza na wahusika kuhusu huduma zao na walielezea huduma zinazopatikana pale kwa kipindi hiki cha Sabasaba na baada ya Sabasaba.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama video

Waandaaji wametaja sababu za kumpa Florida Venance ushindi wa Miss Rukwa 2018

Soma na hizi

Tupia Comments