Habari za Mastaa

VIDEOMpya: DJ Khaled amewakutanisha Travis Scott na Nas kwenye hii “Its Secured”

on

Siku tatu baada ya kuachia albam yake ya 10 “Grateful”, rapa DJ Khaled anayefanya kazi na label ya RocNation na We The Best Music Group ameachia video ya single yake ya nne “Its Secured” ambayo amewakutanisha Nas pamoja na Travis Scott kwenye collabo hiyo.

Dakika zako 4:23 zitumie kuitazama hapa chini.

VIDEO: Ulipitwa na hii ya mchekeshaji Ebitoke baada ya kukutana na Ben Pol? Bonyeza play hapa chini kuitazama

Soma na hizi

Tupia Comments