Habari za Mastaa

Mtazamo wa Dj Khaled kuhusu ma Dj’s kupeana support kimuziki. (Audio)

on

Dj Khaled1

Mvutano wa watu kutokupeana support kwenye game ya muziki haipo tu kwa wasanii Tanzania, hali hiyo ipo hata kwa wasanii wa Marekani pia tena kwa wao hata ma DJ’s kupeana support kwenye kazi zao sometimes inakuwa ngumu.

DJ Khaled2

Nimekutana na interview moja alioifanya Dj Khaled siku chache zilizopita na miongoni mwa maswali alioulizwa ni kama anahisi ma Dj wengi wanapeana support wakitoa nyimbo zao, Khaled alitoa mtazamo wake, alikuwa muwazi na kusema…

Dj Khaled3

>>> “Nahisi wanafanya hivyo siku hizi kuliko zamani, siku hizi wanalazimika kutoa support kwa ma Dj wengine kwasababu wasipofanya hivyo mtu anaonekana kama hater fulan ana chuki binafsi, na nani siku hizi anapenda kuonekana hater nani!?..<<< Dj Khaled

DJ Khaled4

>>> “hata kama humpendi huyo msanii au hata kama ngoma yake haitofanya freshy wewe mpe support tu… dunia ilivyo sasa hivi vitu vinafanyika kwa upenyo wa fursa na pia moyo wa kutoa support, licha ya hivyo muziki mzuri siku zote utasimama hata kama humpendi mwenye wimbo, akifanya ngoma nzuri lazima atazikimbiza chati za muziki” <<< Dj Khaled.

Msikilize mwenye akiwa anaelezea hapa chini kwenye hii sauti.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments