Habari za Mastaa

VideoMPYA: DJ Maphorisa & Wizkid wametualika kuitazama hii ‘Good Love’

on

Baada ya DJ Maphorisa wa Afrika Kusini kutisha na mnigeria Wizkid katika ngoma yao ya awali iliyobeba titte ya ‘Soweto Baby’ wamerudi tena kwenye masikio yetu na hii collabo nyingine tena ‘Good Love’.

Nimekuwekea hapa chini Bonyeza Play Kuitazama. 

VIDEO : Ulimiss Perfomance ya Wizkid Fiesta Mwanza 2016? Bonyeza play nimekuwekea hapa chini

VIDEO: MTV EMA kuichukua tuzo kwa Wizkid na kumpa Alikiba.

Soma na hizi

Tupia Comments