Habari za Mastaa

“Dogo Janja alikuja kunieleza, Usipo ongea utakufa”

on

Baada ya kusambaa picha inayomuonesha Dogo Janja akiwa ameenda kumtembelea mtaalamu wa Saikolojia Dokta Chris Mauki kitu kilichoibua maneno ya kwamba Dogo Janja anamsongo wa mawazo uliodaiwa kusababishwa na kugombana na mke wake Irene Uwoya kisha Kutengana.

Baada ya kupata tetesi hizo Ayo TV na millardayo.com ikabidi iwatafute wote wawili ambao wanadaiwa kuwa kwa sasa hawaishi pamoja, hali iliyofanya wawili hao kuto patakina ndipo alipopatikana Dkt. Mauki ambaye ameeleza kuhusu Dogo Janja kwenda kumtembelea ofisini kwake je ni kweli anamsongo wa mawazo unaosababishwa na ugonvi kati yake na mkewe Irene Uwoya…?

Bonyeza PLAY kusikia alichojibu Chris Mauki..

“Mimi ni Boss Lady, Sijamuiga Zari jina, Wema hajajiita TZ sweetheart” – Husna Maulid

SEHEMU YA PILI: Kwanini Scott hakutaka kula bata na gari alilopewa na Baba yake

Soma na hizi

Tupia Comments