Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2022-2027) wa ushirikiano baina ya Tanzania na Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na Viongozi, Wadau wa Maendeleo Pamoja na wakuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa hapa nchini wakati wa Uzinduzi wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2022-2027) wa ushirikiano baina ya Tanzania na Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na Viongozi, Wadau wa Maendeleo Pamoja na wakuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa hapa nchini wakati wa Uzinduzi wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2022-2027) wa ushirikiano baina ya Tanzania na Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango pamoja na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa hapa nchini Zlatan Milisic wakiweka saini katika Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2022-2027) wa ushirikiano baina ya Tanzania na Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini mara baada ya uzinduzi wa mpango huo .
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa hapa nchini Zlatan Milisic akimkabidhi Nishani Maalum ya Shukrani Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango mara baada ya Uzinduzi wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2022-2027) wa ushirikiano baina ya Tanzania na Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini