AyoTV

Rekodi za Wasanii wa Tanzania wanapokwenda kwenye show Marekani

on

Nakukutanisha na Promota DMK, Mtanzania anayeishi na kufanya kazi Marekani, yeye na wenzake ndio wamekua wakipeleka Wasanii wa Tanzania kwenda kufanya show Marekani kuanzia Mr. Nice aliyekua msanii wa kwanza kupelekwa Marekani kufanya show miaka hiyo.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments