Mix

PICHA 11: Miezi 6 baada ya shindano, Miss TZ apewa zawadi ya gari lake leo

on

Kamati ya shindano la Urembo la Miss Tanzania leo May 11 2017 Dar es salaam imemkabidhi Diana Edward Miss Tanzania 2016 zawadi yake ya gari (Suzuki Swift) ikiwa ni zaidi ya miezi 6 toka fainali ya shindano lenyewe ifanyike.

ULIPITWA? Fainali nzima ya Miss Tanzania 2016 ipo kwenye hii video hapa chini….

EXCLUSIVE INTERVIEW: Miss Tanzania 2016 Diana Edward awajibu wanaosema ana sura mbaya….

Soma na hizi

Tupia Comments