Mix

R.Kelly kaurudia wimbo wa ‘If’ wa Davido, sikiliza hapa alivyopita

on

Sio jambo la kawaida kwa Msanii wa Afrika kutoa wimbo alafu ukarudiwa na Mwimbaji wa Marekani ambapo kwa miaka mingi ilionekana Waafrika ndio wanadata na miondoko ya Wamarekani lakini kadri time inavyosogea Wamarekani ndio wanaisogelea Afrika.

Robert Kelly (50 yrs) akiwa ni Mkongwe mwenye vyeo vyake kwenye muziki wa dunia, ameufanya mwaka 2017 kuwa wa kumbukumbu zaidi kwa Davido na Afrika yenyewe baada ya kuurudia wimbo wa Davido uitwao ‘IF

Hii ngoma inawezekana ikawa imewashika wengi tu wa Marekani kwani hata Omarion pia alishajirekodi video akiimba ‘IF’, Ukibonyeza play hapa chini utapata kipande cha jinsi R. Kelly alivyopita….

Hapa chini unaweza kuitazama video yenyewe Original kutoka kwa Davido ‘IF’

Davido alionyesha kufurahishwa na kitendo cha R. Kelly kurudia ngoma yake ambapo alionyesha furaha yake kwenye Instagram na kuandika ‘baki na utamaduni wako, watakuja’.

ULIPITWA? Show ya Diamond Platnumz iliyovunja rekodi Marekani, PLAY HAPA CHINI KUJIONEA MWENYEWE

VIDEO: Tazama Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo Tanzania Dr. Mwakyembe alivyowazungumzia kina Davido, P Square, Tiwa Savage, Alikiba, Diamond, Ay na MwanaFA, bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments