AyoTV

VIDEO: Polisi yaongea kwanini Diamond Platnumz hakufikishwa Mahakamani kama wale wa Singida

on

Mohamed Mpinga ni Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Tanzania na amekubali kukaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV kujibu baada ya watu ku-comment kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuona Diamond amepost picha akiwa na Kamanda na hakupelekwa Mahakamani.

Kamanda Mpinga ameeleza kwanini Mwimbaji Diamond Platnumz hakupelekwa Mahakamani baada ya video yake kusambaa akiendesha gari huku akiimba na kucheza wakati kuna wale wa Singida walipelekwa mpaka Mahakamani kwa kosa hilohilo…… TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

VIDEO: Polisi waongea kuhusu kukamatwa kwa Agness Masogange, bonyeza play kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Tazama Vodacom WASAFI BEACH PARTY 2016 ilivyonoga, Vera Sidika na wengine ndani… bonyeza play kwenye hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments