AyoTV

VIDEO: Mbunge aliyempongeza Diamond Platnumz

on

May 13 2016 ilikuwa ni zamu ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo  kuwasilisha  Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017  kiwango kilichoombwa ilikuwa ni Sh. 20,326,176,000 ambapo kati ya hizo, fedha za matumizi ya kawaida ni Sh. 17,326,176,00

Katika kipindi cha kupokea michango ya maoni kutoka kwa Wabunge, Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga akaguswa na harakati za staa wa Bongo flava Diamond Platnumz

>>’Ingekuwa amri yangu tungechonga sanamu la Diamond tukaliweka kwenye mnara wa Askari, ule mnara tumeuchoka. Ametufikisha mbali naameitangaza nchi yetu huko mbele

Serikali hatuna mpango wowote wa kuwasaidia wanamuziki, wanapenya wenyewe tunaenda kukutana nao mbele na sisi tunajifanya kuwasaidiaYuko wapi Mr. Nice?,hatujawawekea mfumo mzuri, ninaongea haya nikiyamaanisha’

Unaweza kumcheki kwenye hii video hapa chini…

ULIIKOSA HII DIAMOND NA MAFIKIZOLO WALIVYOKARIBISHWA BUNGENI ?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments