AyoTV

ExclusiveVIDEO: Tazama Diamond alivyorekodi kolabo na Mafikizolo studio South Africa

on

Mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz sasa hivi anapita kwenye TV na Radio kupitia single mpya aliyoshirikishwa na Mafikizolo wa Afrika Kusini ambapo kitu kizuri zaidi ni kwamba Reporter wako Millard Ayo alikuwepo studio kwa Oskido Johannesburg South Africa siku hii kolabo inarekodiwa, tazama hii video hapa chini

ITAZAME VIDEO YENYEWE HAPA CHINI..

ULIIKOSA SHOW YA DIAMOND LAS VEGAS MAREKANI ILIYOVUNJA REKODI YA MAHUDHURIO? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments