Breaking News

Video iliyonasa Lissu akitoka Polisi baada ya kuachiwa

on

Baada ya kukaa mahabusu kwa siku mbili, Leo August 24, 2017 Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana, hii video hapa chini imenasa kila kitu ilivyokua jioni hii

VIDEO: Tazama Polisi wakiwa mtaani kwa Tundu Lissu Dar es salaam… bonyeza play hapa chini kujionea

VIDEO: Tundu Lissu alivyogoma kutoka Mahakamani ili asikamatwe na Polisi, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

APP MPYA: Usisahau ku-install APP mpya ya ‘millardayo‘ inayopatikana kwa wale wenye simu za ANDROID, kama ulikua na ile ya zamani naomba uifute…. karibu sana mtu wa nguvu, UNAWEZA KUI-INSTALL KWA KUBONYEZA HAPA >>> APP MPYA

Soma na hizi

Tupia Comments