Top Stories

Jamaa ‘hatari’ akaanga yai kwa kutumia jua, aitwa ‘Tanzania Day’ Marekani

on

Bernard Kiwia ni Mtanzania ambaye amebuni vitu mbalimbali ikiwemo jiko linalotumia jua kupika vyakula na baiskeli ambayo inaweza kuvuta maji kwenye kisima pamoja na mtambo wa kufungau nguo kwa kutumia upepo, ambapo baada ya ubunifu huo ameitwa kupewa Tuzo nchini Marekani katika tukio la Tanzania Day.

“MAFURIKO NI FURSA, ISIONEKANE KUWA NI LAANA” NAIBU WAZIRI WA MAJI

Soma na hizi

Tupia Comments