Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Babu Tale ameongelea ukaribu wa Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > VIDEO: Babu Tale ameongelea ukaribu wa Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz
AyoTV

VIDEO: Babu Tale ameongelea ukaribu wa Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz

September 29, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Najua kama utakuwa mfuatiliaji wa mastaa wa bongoflevani utafahamu ukaribu aliyokuwa nao Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz hapo awali ambapo pia walishafanyaga collabo ya pamoja na mwanadada kutoka Kenya, Victoria Kimani ya ‘Prokoto‘ na walikuwa wakionekana mda mwingi wapo pamoja hata kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram wakipost picha wako pamoja.

Lakini kwa sasahivi imekuwa kimya na inaonekana kila mtu anafanya issue zake na hii imeleta utata kwa mashabiki kuhisi kuwa labda kuna beef kati yao ama vipi, Camera za Millardayo.com na AyoTV zimeweza kumpata mananger wa Diamond Platnumz, Babu Tale na haya ndio yalikuwa majibu yake…

>>>’Sijawah kuwaona hivi karibuni labda kwasababu kila mtu mmoja anapiga issue zake lakini me na Ommy tulisafiri wote na Naseeb mpaka uingereza na tukafanya video ya BamBam sijawahi…’

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA  IDRIS SULTAN NA ERNEST WA GOING BONGO NDANI YA FILAMU MOJA? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

You Might Also Like

EXCLUSIVE: Alikiba akanusha kuepo kwenye Album ya Davido, aingia kwenye kilimo

Picha: Diamond na Wafanyakazi wa Wasafi Media wafika Bungeni Dodoma

Tazama Zuchu alivyotinga na Rolls Royce ya Diamond katika listening party ya EP ‘FOA’

Mabibi na Mabwana Diamond anakukaribisha kuitazama hii video mpya ya Gidi

Diamond, Wizkid, Burna Boy na Megan Thee Stallion jukwaa moja Ureno

TAGGED: Ayo TV, Babu Tale, Diamond Platnumz, Ommy dimpoz
Millard Ayo September 29, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Magazeti ya Tanzania September 29, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo
Next Article VIDEO: Lipumba, Maalim hapatoshi kesho, Warioba asema wananchi hawajui nchi inakoelekea
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?