Habari za Mastaa

“Kama kuna mwenye kinyongo na mimi tusameheane” – DIMPOZ

on

Mwimbaji staa wa Bongofleva Ommy Dimpoz ambae anapatiwa matibabu Afrika Kusini baada ya sumu kutajwa kuwa chanzo cha yeye kufanyiwa Oparesheni, kwenye sehemu ya Interview yake na Mtangazaji Millard Ayo alizungumzia pia kuhusu kusamehe waliomkosea na aliowakosea pia wamsamehe, mtazame zaidi kwenye hii video hapa chini

EXCLUSIVE: “SUMU NDIO CHANZO CHA MIMI KUUMWA” – OMMY DIMPOZ

Soma na hizi

Tupia Comments