Duniani

Vyombo 7 vya moto na maajabu yake… usi-panic ukiona vinapita kusiko

on

Kila siku inaweza kuwa na vitu vipya machoni mwako, kuna vile vitu tu tumezoea kuviona kwenye mazingira ya kawaida na havitushtui tena lakini kuna vingine sio tulivyozoea na inabidi vichukue muda wetu kuviangalia.

Hii video hapa chini ina vyombo 7 vya moto vya kipekee, unakuta basi linapita kwenye maji kama boti, gari pia unatoka nalo barabara ya lami unaingia nalo ziwani na wala halizami, jionee kwenye hii video hapa chini.

ULIKOSA KUMUONA HUYU JAMAA BINGWA WA KUIGILIZIA SAUTI YA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments