Mix

VideoFUPI: Diamond katuonyesha kipisi cha video mpya aliyomshirikisha Mmarekani Neyo

on

Baada ya kusikia Diamond kafanya video ya wimbo mpya na mwimbaji staa wa Marekani Neyo, inawezekana wewe ni miongoni mwa waliokua wakiisubiria kwa hamu, sasa wakati tukiisubiria video kamili kuachiwa, Diamond ameshare na sisi kipisi cha hiyo video mpya

VIDEO: Wema Sepetu aeleza sababu zilizomfanya kufuta picha zote Instagram (+ video)

Soma na hizi

Tupia Comments